ASSALAM ALAIKUM
Madrasatul Aqsaa
Coventry UK inapenda kuwajulisha kuwa tumeandaa chakula cha pamoja siku
ya Eid Mosi kama ifuatavyo:
Kiwango £6 kwa watu
wazima na £4 kwa watoto
Pahala: Muslim
Resource centre
Red Lane, Coventry CV6 5EE
Tunapokea majina
na mwisho ni Jumatatu
Tareh 21/7/2014
Kumbukeni kwamba
tutaswali sala ya Eid
pale pale Muslim
Resource Center.Darasa zentu zinaendelea
LIVE kama kawaida www.madrasatulaqsa.com.
Halikadhalika
Karibu Mihadhara yetu
kila juma pili kuanzia
Saa moja jioni.Tunaomba kila mmoja
aje na Iftaar ili
apate fadhila za
kumfuturisha Muislam mwengine.
Kwa Taarifa Zaidi wasilian na :
Simu
:07767241499,07717724094
www.madrasatulaqsa.com
Wabillah Tawfiq

No comments:
Post a Comment